Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » LUTENI KALAMA AMVISHA PETE BELLA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Luteni Kalama, kutoka kundi la gangwe mob ambaye wiki iliyopita alimvisha pete rasmi mchumba wake wa siku nyingi, mrembo aliyewahi kushikilia taji la Miss Ruvuma Bella amewahakikishia mashabiki wake kuwa hatua ya kufunga ndoa ndo inayofuata mbele yao.
Kukiwa na mifano dhahiri ya wasanii kadhaa walioshuka ama kuweka sanaa pembeni baada ya jukumu la ndoa na familia kuingilia kati, Luteni amesema kuwa kama kipaji cha mtu kipo hakiwezi kupotea, akijiamini kuwa jina la Luteni Kalama litabaki siku zote katika sanaa.
Wachumba hawa wapya bila kutaja tarehe rasmi wameiambia fulltainment kuwa, Harusi yao itafanyika hivi karibuni ila hawajasema ni lini.
Kalama pia amezungumzia ujio mpya wa kundi la Gangwe Mob, akiweka wazi kuwepo kwa rekodi kama 3 ambazo zitatoka kati ya sasa na mwezi ujao wa 7

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply