Staa wa filamu TZ Kajala, ambaye wiki kadhaa zilizopita alishambuliwa na kujeruhiwa usoni kwa chupa na kijana alieyedai kuwa ni mtungi ulimtuma vibaya. Kajala amesema licha ya kesi hiyo kuwepo polisi lakini yeye binafsi amekwishamsamehe kabisa kiroho safi jamaa aliemdhuru.
Kajala pia ametumia nafasi hii kukanusha dhahiri kuwa mbaya wake huyo hahusiani kwa namna yoyote na pande mbili za mashabiki wenye mivutano mikubwa ambao ni #TeamWema wanaomsapoti mwanadada Wema Sepetu, dhidi ya #Teamkajala ambao wanamsapoti yeye binafsi.
No comments