Ile show kubwa ya kusupport muziki wa bongo fleva hapa Tanzania inayofahamika kama Planet Bongo ambayo ilikuwa inaruka kila siku ya jumamosi sa 4 mpaka 6 mchana,kuanzia leo 1 june 2015 show hiyo itaanza kusikika kuanzia 7 mchana mpaka 10 jion kupitia E.A Radio na kwasasa imeongenzwa nguvu kwa kuongezwa watangazaji watakaokuwa wahost show hiyo.
Show itakuwa na presenters watatu ambao ni Dullah,Anna Peter na Kenedy na kwa upande wa ma DJ utamsikia DJ OMMY CRAZZY,DJ SAMA na Dj wa kike msikilize nisikumalizie huondo.
Wapenzi wa bongo fleva huu ndio wakati sasa wa kuendelea kusuport mziki wetu ili uweze kupiga hatua kubwa.Tunategemea mambo mazuri kutoka kwenu wana PB
No comments