Official video ya joh Makini nusu nusu tayari imeshatoka baada ya kuchezwa kwa mara ya kwanza kwanye kituo cya television cha MTVbase.
Hii ikiwa ni video ya kwanza kwa weusi kuchezwa kwenye kituo hicho kubwa cha Tv duniani
Pata nafasi ya kuangalia video hiyo ya Joh Makini inayokwenda kwa jina la nusu nusu ambapo pia imeshaachiwa kwenye Audio kupitia Radio Stations
No comments