Hivi ndivyo stage ilikuwa ikionekana kabla show haijaanza
Baadhi ya watu wakiwa wameanza kuingia
Yamoto band kutoka TMK wakifanya vitu vyao
Rubi akiwa kwenye stage
Zari akiongea na waTanzania baada ya kupewa mic na Diamond
Diamond akicheza na mshabiki
TID akihojiwa
baadhi ya mashabiki wakimshangilia shemeji yao kipenzi Zari the boss lady
No comments