Mvua ziazoendelea jijini dar es salaa zaendelea kuleta
madhara makubwa kwa baadhi wa watu wanaoish maeneo ya mabondeni,
Baadhi ya miti ikiangushwa na maji
Moja kati ya maeneo yaliyokubwa na mafuliko no katika daraja anmbalo limepita mto mbezi ambapo maji yalijaa mpaka juu ya daraja hilo na kusababisha barabara kutoonekana jambo ambalo lilisababisha usumbufu mkubwa kwa madereva wanaotumia njia hiyo
Pia mafuriko hayo yalisababisha mpaka kuanguka kwa nguzo za umeme zilizopita pembezon mwa mto huo.
No comments