Meneja wa kinywaji cha Kilimanjaro Lager Pamela Kikuli,anafafanua ni nani huwa wanashiriki Kili Tour, ni washindi tu au na wasanii wengine ambao hata hawapo kwenye tuzo wala wajashinda? Pamela amesema Kili Tour sio kwa ajili ya washindi ndo maana inaitwa Kili Tour ndo maana haijaitwa Kili winners Tour.
Akiongelea kuhusu Kili Tour kutembea na waandishi wa habari katika Kili Tour, Pamela amesema wakienda mikoani wanaamini kuwa local media katika mikoa husika, alafu husambaza kwa wananchi wao, kwa hiyo mara nyingi hutumia media houses zilizopo katika mikoa husika.
No comments