DAMIAN SOUL mkali ambae amefanya vizuri sana na ngoma yake inayoitwa NI PENZI aliyofanya na JOH MAKINI ameiambia fullnewstz kuwa kwasasa yuko katika maandalizi ya ngoma yake nyingine ambayo atamshirikisha Jose Chameleone kutoka Uganda .
Kama ulikuwa hujui A.Y ndio aliefanya mpango huu uweze kukamilika kutokana na Ay kuwa na ukaribu mkubwa sana na Chameleon ndie ambae ameamuwa kuwaunganisha ili kuweza kupata kazi nzuri kutoka kwa Damian soul.
Tukae mkao wa kula katika ujio mpya wa collabo kati ya Damian Soul na Jose Chameleone kutoka uganda
No comments