Mwigizaji Shamsa kutoka kwenye bongomovie alipita kwenye studio za TZA
ambako ndio makao makuu ya AyoTV na millardayo.com na kukubali kukaa
kuzungumza ukweli kuhusu kuwepo mapenzini na msanii wa bongofleva Nay wa
Mitego..
Ilitoka taarifa hii April 10 2015 na ilipata views 76,699
TAZAMA PCHA ZAKE ZA MIAKA HIYOOO
KILA SIKU YA ALHAMISI TUTAKUWA TUNA THROUGBACK KUTAZAMA MASTAR MBALI MBALI NA MATUKIO YAO YA NYUMA
No comments