Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » THROUGBACK THURSDAY:PROFFESA JAY AIZUNGUMZIA ALBAM YAKE YA MACHOZI,JASHO NA DAMU
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post




Fulltainment imefuatilia vizuri sana prof  j leo akiwa anazungumzia albam yake MACHOZI ,JASHO NA DAMU ilitoka mwaka 2002.
Amesema katika albam yake  hiyo Alikuwa anaandika nyimbo ambazo zitakaa miaka mirefu kutokana na mashairi yake yaliyokuwa yanazungumziwa kwenye nyimbo zake ambapo anaamini mpaka leo bado mashahiri yale yanasisimua na kumfanya mtu aamini ukweli unaozungumzwa kwenye hip hop.

Amesema pia Zamani wasanii walikuwawanatafuta umaarufu kwa namna yoyote ambapo iliwabidi wasanii wakaze kutoa ngoma ambayo itasababisha wapate show mbali mbali za kuwatambulisha kwenye madisco ya akina Bony Love na wengine wengi


Nyimbo zake za zamani hazijamfaidisha chochote kimuziki ila ilikuwa ni albam iliyomfanya prof J akubalike sana kupitia mziki huu wa bongo fleva hapa Tanzania.
Kipindi hicho albam hiyo ilikuwa inauzwa sh 500 za kitanzani kama unakumbuka?????

Prof Jay ndio aliesababisha fid Q kurudi kwenye game baada ya fid kukata tamaa kwenye mziki kwa kipindi kile alipokuwa anaishi mwanza ambapo pia familia yake ilihamia huko.
moja kati ya watu waliosikika kwny albam yake ya MACHOZI,JASHO NA DAMU
Babu ayubu,seki,sos B, n.k
Jitihada zake ndizo zilizosababisha Prof saiz kuwa mbunge wa huko MIKUMI katika mkoa wa Morogoro .
mungu mbariki prof ,Mungu ibariki Afrika





About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply