Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » BONGO STAR SEARCH YARUDI TENA MWAKA HUU.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mkurugenzi wa kampuni ya BenchMark production ambae pia ni judge wa mashindano ya kusaka vipaji kwa vijana wa kitanzania katika shindano la Bongo Star Search, Ritta Paulsen amedhibitisha jana kwamba Bongo star search inarud tena mwaka huu kwa kishindo kikubwa  vijana wakae tayari.
 

Akizungumza na Amplifyer ya Millad Ayo jana alisema tayari wamesha sign mkataba na kampuni kubwa ya nje ambayo ndio itakuwa inadhamini mashindano hayo kwa mwaka huu,kwahiyo siku si nyingi itatangazwa lini mashindano yanaanza rasmi na itakuwa katika mwezi huu huu wa 5.

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply