Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » STAMINA AELEZA SABABU ZA KUTOA ALBAM YAKE MOUNT ULUGURU
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post


Stamina ameieleza fulltainment kuwa ameamua kuachia albam yake Mount Uluguru si kwasababu ya kutegemea apate fedha bali anataka kutengeneza profile ya mziki wake.
Akiongea na Fulltainment amesema

"Kumbuka kuna leo na kesho, leo upo kesho unapotea kwenye muziki  unadhan watu watakukumbuka kwa lipi?? Lakini kama una albamu mashabiki watakukumbuka  kwa kusikiliza kazi zako,kwahiyo albamu ni profile ya msanii ila wasanii wengi wa bongo wanaangalia hela kupitia albamu.
Kwahiyo wadau wasubiri albam ya Mount uluguru itatoka na nyimbo 23.nyimbo zangu zilizotoka lazima ziwepo kwenye albamu ndomaana watu wengi hawajui kwann nyimbo zangu nilikuwa nazitoa kwa mfululizo namnaile.
Nyimbo utakazozisikia ni KABWELA,ALISEMA,NAJUTA KUBALEHE then ipo WAZO LA LEO na KAMWAMBIE MWENZIO  then itakuja MGUU PANDE MGUU SAWA
Albam hiyo inatarajiwa kuzinduliwa jumamosi hii huko morogoro may 30 na katika uzinduzi huo mgeni rasmi ni AFANDE SELE

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply