Wadau na wapenzi wa blog ya fulltainment ambao mlikuwa mkifuatilia habari zetu kila siku napenda kuwataarifu kuanzia sasa blog yako ya fulltainment imebadili uongozi wake rasmi kuanzia siku ya jana ambapo huyu unaemuona hapa ndio mkurugenzi mkuu ambae atakuwa anasimamia mambo yote yanayohusiana na blog hii.
Anatambulika kwa jina la ALLEN PETER KASIGA ni mtangazani wa MAGIC FM na CHANNEL TEN pia ni mdau wa sanaa za Tanzania katika upande wa muziki na filamu kwa ujumla.
unaweza ukatembelea accont yake ya facebook anajulikana kama Allen Peter Kasiga kwa taarifa zaidi.
RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA
http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.
Link list 3
- MICHEZO (1)
Link list 2
Link list 1
Search This Blog
HOME
NEW HITS
UCHUMI
MICHEZO
Home
»
»Unlabelled
» MKURUGENZI MKUU WA FULLTAINMENT BLOG HUYU HAPA
Tagged with:
About G'14
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments