Ikiwa ni miaka 2 sasa imeshapita toka tumpoteze msanii huyo.
leo kupitia mtandao wa instagram wamekuwa wakipost baadhi ya picha za ngwea na R.I.P pia DENJAVU MUSIC leo wanaachia ngoma ambayo ni ya kumuenzi ngwea ambapo itaachiwa mchana huu kupitia kipindi cha XXL ya CLOUDS FM,ngoma inaenda kwa jina la HII NI KWAKO.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
No comments