Star wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel amejifungua
mtoto wa kike siku ya Alhamis (jana) May 2015 asubuhi. Kupitia acount yake ya
Instagram, Ezekiel amethibitisha kupata mtoto wa kike na kumpa jina "cookie" mtoto huyo ambae
baba yake ni Mose Iyobo ambae ni dancer wa msanii Diamond platnum "nukuu"
Amin ktk Mungu ndio
Mwisho wa Matatizo yote yaliyotuzunguka Hakuna mganga wala Mchawi pasipo Mungu.
Ahsante Mungu wangu
kwa kunikabidhi zawadi yang Asubuhi jana tar 21-05-2015 Muache yeye atende
kwani ndio nguzo yetu sote Nasema Ahsante tena Ahsante kwa zawadi hii kubwa ktk
Maisha kwani ilikuwa ni kipindi kigumu chenye majaribu ya kila aina kupitia
binaadamu wajizaniao wao ni miungu watu Bac endelea kunyoosha mkono wako katika
paji la kiumbe wako ukiwa kama kinga nami niwe kivuli tuu juu yake Amen.
Whn Jesus Say Yes Ni
body can
Say wht!!!!!!!Wlcm Baby Cookie wlcm 2 da
world KIBOKO YANG.
Alimaliza kwa kuandika AUNTY
No comments