
Pambano la Floyd Mayweather na Manny Pacquiao linazidi kutawala vichwa vya habari, mastaa kama Rick Ross , 50 Cent wamesha tembelea gym anayofanyia mazoezi Flody na sasa Mariah Carey pia alikuwa na Floyd kwenye gym.
Tiketi za mpambano huo zitaanza kuuzwa lwo kuanzia sa $ usiku kwa saa za Afrika mshariki ambapo pambano hilo linatarajiwa kufanyika tarehe 2 may huko Marekan katika jiji la Las Vegas katika ukumbi wa MGM GRAND GARDEN ARENA

Bei ya tiketi kutokana na eneo utakalokaa ni kama ifuatavyo $ 7,500 $ 5000 $ 3,500 $ 2,500 $ 1,500 $ 1,000
Mariah Carey amekuwa shabiki mkubwa wa Mayweather na pambano la mwisho kuhudhuria lilikuwa pambano la Floyd na Shane Mosley mwaka 2010.
No comments