Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » SABABU YA BIG SEAN NA ARIANA GRAND KUACHANA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Msanii wa miziki nchini marekan Big Sean na Ariana Grand wamesema kuwa ubusy wao ndio ulikuwa sababu yao kubwa ya kuachana lakini kupitia mtandao wa TMZ umeelezea sababu halisi ya kuachana kwao.


big-sean

Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Big sean hakuwa akimpa na kumuonyoshe Ariana heshima aliyokuwa akiitaka na aliandika baadhi ya mistari iliyomdharirisha kwenye wimbo wake wa Stay Down
Chanzo cha habari kimesema bibi yake Ariana alimfuata BIG na kumuuliza kuhusu mashahiri hayo ambayo alihisi moja kwa moja ni ya kumdhalilisha mjukuu wake,
Hata hivyo BIg Sean anadai kuwa Ariana alimfanya alipe Bill zote na alikuwa na matumizi ya kifahari kupita kiasi.
lakini vyanzo vilivyo karibu na Ariana vinasema kuwa ni yeye ndie aliekuwa akilipa mara nyingi mpaka pesa za mapumziko na garama za ndege binafsi.


Ariana Grande Big Sean Broke Up

Sababu nyingine ambayo Big Sean ameieleza kuwa kitendo cha kushikwa makalio kwenye stage na justine Bieber kilifanywa makusudi ili kumuumiza ikapelekea kuona msichana huyo hamfai.

Sean amesema yeye ndie aliemuacha mrembo huyo baada ya kuona ana mambo ya kitoto.
Mafarakano yao yalianza february alipofanya show ya House of Blues na mastar kibao waliwepo Kanye,Jlo,Chriss brown,Jay Z,Bieber,Tyger isipokuwa Ariana

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply