Utawala nchini Burundi umekataaa mawasiliano ya mitandao ya kijamii kupitia simu za mkononi mawasiliano ambayo wamekuwa wakitumia kupanga maandamano ya kumpinga Rais Pierre Nkurunziza.
Mamia ya waandamanaji wako barabarani kwenye mjimkuu wa Buruni,Bunjumbura kwa siku ya nne ya ghasia kutokana na uamuzi wa Rais kwa kuwania muhula wa tatu.
Mwandishi wa BBC anasema aliwaona waandamanaji katika eneo la Musaga wakiinua mikono kuwaonyesha polisi kuwa hawakuwa wamejihami
Maandamano Burindi
MAWASILIANO YA KIJAMII YAKATWA BURUNDI

No comments