Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » MKITO.COM WAONGEA NA WASANII
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post







MKito ni tovuti ya muziki kwa wanunuzi wa muziki.Wanunuzi wanaweza kupakua nyimbo bure kupitia matangazo au wanaweza kununua muziki kwa gharama ndogo kupitia malipo kwa njia ya simu. Wasanii wanaweza kuuza na kutangaza nyimbo zao bure huku wakipata 60% ya fedha zitokanazo na mauzo.
Lengo kubwa la mkito.com  nikupanua wigo wa kusambaza muziki wa Afrika ambapo muelekeo wake ni kuweka pamoja platform ya kusambaza muziki wa Afrika Mashariki kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu.Pia Mkito inalenga kuuza muziki kwa gharama nafuu pia kusambaza muziki bure uliyoambatanishwa na matangazo. Kuwezesha wasanii kusambaza muziki wao na kulipwa malipo yanayotokana na kazi zao za usanii kupitia Mkito.
wamesema pia mkito haiangalii jina alilonalo msanii katika mgao wimbo wowote wa msanii utauzwa sawa sawa bila kujali msanii mmoja anajina zaidi ya mwingine.

kwa wewe msanii unaefanya makubaliano na Mkito  una nafasi ya kufanya kazi na kampuni nyingine utakapoona mkito haikusaidii au kukufaidisha kwa namna yoyote katika mapato yake.
Ukiwa kama msanii ili uweze kufanya mawasiliano na mkito katika kuuza wimbo wako wasiliana nao kupitia

 info@mkito.com
www.facebook.com/mkitodotcom
www.twitter.com/mkitodotcom

 Tel: +255 767 317 806 , +255 718 917 715  

Msanii changamkia fulsa hii

www.mkito.com

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply