Ben Pol akutana kwa mara ya kwanza na
Msanii mkongwe wa Bongo Fleva Dudu Baya katika usiku wa uzinduzi wa Video mpya ya Sophia uliofanyika New Maisha Club Dar jumapili iliyopita .
Kwa mujibu wa msanii huyo mkongwe Dudu aliyewai kufanya vizuri katika mziki wa Bongo Fleva, Amefurahi sana kukutana na Ben Pol na alikili kutokukutana na msanii huyo toka alipoanza kumsikia kwenye muziki wa bongo fleva.
Uzinduzi wa Video mpya ya Ben Pol
Sophia ulisindikizwa na wasanii pendwa wa Bongo Fleva akiwemo Rich Mavoko, Izzo
Bznes, Quick Raka,Barnaba,Ice Boy na Ayler
wakati muendeshaji wa shuuli iyo alikua Mc kutoka kituo cha Radio Clouds
Fm Love Nes Love Diva the Boss.
Diva the boss
Barnaba boy
No comments