Hivi ndivyo ilivyokuwa ndani ya Dar Live siku ya jumamosi ambapo E fm iliandaa show ya miaka 16 ya Juma Nature katika game.
VIDEO:USIKU WA JUMA NATURE KATIKA MIAKA 16 NDANI YA GAME, DAR LIVE
Mashabikia wakipagawa na show ya Nature alipokuwa kwenye stage akifanya mambo yake. Show iliandaliwa na E fm Radio kutoka Dar es salaam

No comments