Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » UMOJA WA MATAIFA KUCHUNGUZA KASHFA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ameunda uchunguzi wa nje kuhusu kashfa ya kuwadhalilisha watoto kitendo kulikofanywa na wanajeshi wa Ufaransa wa kulinda amani nchini Jamahuri ya Afrika ya Kati.
Katika taarifa hiyo, Bwana Ban Ki Moon amesema Umoja wa Mataifa umedhamiria kuhakikisha kuwa hauwangushi waathirika wa vitendo hivi vya udhalilishaji, hasa vinapofanywa na watu wanaotegemewa kuwalinda.
Kuundwa kwa kamati huru ya uchunguzi ni moja ya madai ya wakosoaji ambao wamekuwa wakiukosoa Umoja wa Mataifa kwa kutochukua hatua madhubuti kuchunguza madai hayo ya udhalilishaji watoto wengine wakiwa na miaka tisa.Hatua hii imekuja mwaka mmoja kamili baada ya watafiti wa Umoja wa Mataifa kusikia kwanza kutoka kwa watoto walioathirika kutokana na udhalilishaji huo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika Kati, Bangui.

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply