Collabo za Rihana na Drizzy
zilizoshika chati kama “Take Care na Whats My
Name” ziliwaleta wawili hawa karibu sana mpaka kupelekea kuwa wa penzi
na baadae kuachana vibaya huku pakiwa na uvumi kuwa wana beef na hawazungumzi
kabisa
Taarifa mpya kuhusu Drizzy na Rihana
ni kwamba wanafanya wimbo wa pamoja na hivi karibuni wameonekana wakitoka studio
moja huku Rihanna akiwahi kutoka na Drake akitoka baada ya dakika chache.
Imeripotiwa na mtandao mmoja wapo wa huko marekani kuwa walikuwa studio
wakirekodi kwa zaidi ya saa tatu na weekend hii wameonekana club pamoja wakila bata pamoja.
Hii inaashiria tofauti zao zimekwisha kabisa na wako poa na maisha yao ya kimapenzi
No comments