Kama unavyowaona vijana wakikwa kwenye stage
Hapo ASLAY akionyesha uwezo wake katika kulisakata lumba stagini
Baadhi ya mashabiki wakiburudisha na yamoto bandi
Tunda man nae hakuwa nyuma kama suplise alishow love na wapenzi wa yamoto bandi baaada ya kupiga nyimbo zake live na bandi
Tunda man aliita wadada wa 3 kwenye stage kujiachia na mangoma yake mambo yalikuwa kam hivi.
Kila mtu alikamata wake na kucheza nao kama moja ya kunogesha show
Mpaka chiniiii, mapaka chiniiii, mpakaaaaa chiniiiiiiiiiiiiiiiii
No comments