Hii ndio list kamili ya wasanii watakaomsupport Stamika kutoka Morogoro katika Uzinduzi wa albam yake inayokwenda kwa jina la Mount Uluguru .
LIST KAMILI
FID Q
ROMA
MR BLUE
IZZO BUSSINESS
MATONYA
DARASA
CHEGGE
TEMBA
BARNABA
KING ZILLAH n.k
Stamina amesema ameamua kuthubutu kufanya kwasabu ameona kuna wasanii wengi hawana huwezo wa kuthubutu, Pia amemaliza kwa kusema katika show hiyo mgeni Rasmi atakuwa ni AFANDE SELE
No comments