Leo 29.5.2015 ni siku ambayo wanazaliwa moja kati ya wadau wa burudani kutoka Tanzania .
Macho chali ambae ni producer wa muziki wa bongo fleva leo anakumbuka siku yake ya kuzaliwa kama haufahamu jamaa yuko katika studio ya Mj Rec iliyoko mikocheni jijini Dar es salaam
Pia Husna Abdul kutoka kipindi cha leo tena ya clouds fm nae leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo full tainment ilijaribu kuwatafuta ili kujua umri wao wawili hawa lakini jitihada za kuwatafuta hazikuzaa matunda .
Husna Abdul a.k.a Da Huu
No comments