Madhabahu ya Usharika wa Kimara ukionekana usiku wa leo katika ibada ya mkesha wa kusifu na kuabudu |
Vijana wa Timu ya kusifu na kuabudu ikiendesha ibada ya mkesha wa kusifu na kuabudu usiku huu |
Baadhi ya wanafunzi wakimsifu Bwana katika Roho na Kweli |
Ibada ya sifa ikipamba moto |
Wanafunzi wakisifu |
Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye ibada ya mkesha wa kusifu na kuabudu |
No comments