Niko nayo tayari, unaweza kucheki hapa list kamili ya mastaa wote ambao wameteuliwa kwa mwaka huu.
- Mtumbuizaji Bora wa Muziki wa Mwaka wa Kiume
Mzee Yusuph
Christian Bella
Diamond Platnumz
Ally Kiba
Nyoshi El Sadaat
- Mtumbuizaji Bora wa Muziki wa Mwaka wa Kike
Vanessa Mdee
Khadija Kopa
Isha Mashauzi
Shaa
Dayna Nyange
- Mwimbaji Bora wa Kiume Taarab
Mzee Yusuph
Prince Amigo
Hassan Vocha
Hassan Ally
Mussa Kijoti
- Mwimbaji Bora wa Kiume – Bongo Fleva
Ali Kiba
Ben Pol
Jux
Diamond Platnumz
Belle 9
- Mwimbaji Bora wa Kiume- Band
Jose Mara
Kalala Junior
Khalid Chokoraa
Nyoshi El Sadaat
- Mwimbaji Bora wa Kike- Taarab
Khadija Kopa
Isha Mashauzi
Hadija Yussuf
Leyla Rashid
Fatuma Nyoro
- Mwimbaji Bora wa Kike- Bongo Fleva
Lady Jay Dee
Vanessa Mdee
Linnah
Grace Matata
Malaika
- Wimbo Bora wa Taarab
Hasid Hana Sababu- Hadija Yusuph
Lady With Confidence- Khadija Kopa
Chozi la Mama- Mzee Yusuph
Mapenzi Hayana Dhamana- Isha Mashauzi
- Wimbo Bora wa Mwaka
Mwana- Ali Kiba
Nani KKama Mama- Christian Bella Feat. Ommy Dimpoz
Gere- Weusi
Nitasubiri- Jux
Bongo Hip Hop- Fid Q
- Wimbo Bora wa Kiswahili (Bendi)
Otilia- FM Academia
Kiu ya Haki- Mashujaa Band
Sauti ya Marehemu- Mapacha Watatu
Ganda la Mua- The African Stars (Twanga Pepeta)
Walewale- Vijana Ngwasuma
- Wimbo Bora wa R&B
Nitasubiri- Jux
Unanichora- Ben Pol
Vitamin Music- Belle 9 Feat. Joh Makini
Sisikii- Jux
Ni Penzi- Damian Soul
- Wimbo Bora wa Hip Hop
Bongo Hip Hop- Fid Q
Mfalme- Mwana FA Feat. G Nako
Kipi Sijasikia- Prof. Jay Feat. Diamond Platnumz
Gere- Weusi
I See Me- Joh Makini
XO- Joh Makini
- Wimbo Bora wa Reggae/ Dance Hall
Let Them Know- Maua
Mama Afrika- Warriors from the West
Maisha Magumu- Warriors from the West
Greetings for You- Ras Six
Tujimwage- Deddy
- Rapa Bora wa Mwaka (Bendi)
Ferguson
Msafiri Diouf
Sauti ya Radi
J4
Kabatano
- Msanii Bora wa Hip Hop
Fid Q
Joh Makini
Mwana FA
Professor Jay
ROMA
- Wimbo Bora wa Afrika Mashariki
Sura Yako- Sauti Sol
Kioo- Jaguar
Walewale- Jose Chameleone
Prokoto- Victoria Kimani
Show- Victoria Kimani Feat. Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz
- Mtunzi Bora wa Mwaka- Taarab
Mzee Yusuph
Thabit Abdul
Isha Mashauzi
Abdallah Fereshi
Hassan Ally
- Mtunzi Bora wa Mwaka- Bongo Fleva
Ali Kiba
Diamond Platnumz
Ben Pol
Joh Makini
Nikki wa Pili
Kala Jeremiah
- Mtunzi Bora wa Mwaka- Bendi
Jose Mara
Nyoshi El Saadat
Rogert Hegga Katapila
Hussein Jumbe
Richard Mangustino
- Mtunzi Bora wa Mwaka- Hip Hop
Fid Q
Mwana FA
Joh Makini
Nikki wa Pili
Kala Jeremiah
- Mtayarishaji (Producer) Bora wa Nyimbo wa Mwaka- Bongo Fleva
Nahreel
Man Walter
Mesen Selekta
Tudd Thomas
Marco Chali
- Mtayarishaji (Producer) Bora wa Nyimbo wa Mwaka- Taarab
Enrico
Marlon Linje
- Mtayarishaji (Producer) Bora wa Nyimbo wa Mwaka- Bendi
Allan Mapigo
Enrico
Said Comorien
Amoroso
Ababuu Mwana Zanzibar
- Video Bora ya Muziki ya Mwaka
Mdogo Mdogo- Diamond Platnumz
Nitampata Wapi- Diamond Platnumz
Mwana- Ali Kiba
Olethemba- Linah
Asante- AY Feat. Dela
- Wimbo Bora wa Afro Pop
Mwana- Ali Kiba
Mdogo Mdogo- Diamond Platnumz
Niseme- Yamoto Band
Nitakupwelepweta- Yamoto Band
Kanya Boya- Mesen Selekta
Hawajui- Vanessa Mdee
- Wimbo Bora wa Zouk/ Rhumba
Nani Kama Mama- Christian Bella Feat. Ommy Dimpoz
Basi Nenda- Mo Music
Nitampata Wapi- Diamond Platnumz
Historia- Lady Jay Dee
- Wimbo Bora Wenye Vionjo Vya Asili ya Kitanzania
Waite- Mrisho Mpoto Feat. Felly Kano
Vuma- Vitalis Maembe
Mama Shaban- Ifa Band
Omwana- B.K. Sande
- Msanii Bora Chipukizi Anayeibukia
Baraka Da Prince
Beka Tittle
Afromaniac
Alice
BillNas
- Wimbo Bora wa Kushirikiana/ Kushirikishwa
Forever- Lady Jay Dee Feat. Dabo
Mfalme- Mwana FA Feat. G Nako
Kipi Kijasikia- Prof. Jay Feat. Diamond Platnumz
Kiboko Yangu- Mwana FA Feat. Ali Kiba
Kerewa- Shetta Feat. Diamond Platnumz
- Bendi Bora ya Mwaka
FM Academia
The African Stars (Twanga Pepeta)
Mapacha Watatu
Mashujaa Band
Msondo Ngoma Music Band
- Kikundi Bora cha Mwaka- Taarab
Jahazi Modern Taarab
Mashauzi Classic
Dar Modern Taarab
Five Stars
Wakali Wao Modern Taarab Taradance
- Kikundi Bora cha Mwaka- Bongo Fleva
Yamoto Band
Weusi
Navy Kenzo
Makomandoo
B.O.B
No comments