Lakini Dele Momodu mwandishi wa habari kutoka nchini Nigeria pia ni binamu wa Sophia Momodu
ametumia akaunti yake ya Instagram kuwapongeza Davido na Sophia kwa
kupata mtoto wa kike.
Davido mpaka sasa hajasema chochote
kuhusiana na habari hii tunasubiri yeye kama muhusika atazungumza nini.
No comments