Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » SHILOLE AMALIZA MSALA WAKE NA BASATA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post


ULE MSALA WA SHILOLE kuonekana nusu uchi akiwa kwenye stage ya show yake huko ubelgiji iliyofanyika mwezi uliopita hatimae umeisha na kufikia muafaka na basata leo.
Sakata hilo ambalo lilifika mpaka bungeni ambapo Naibu Waziri wa Habari Vijana  Utamaduni na Michezo Bw Juma Nkamia alisema serikali ililiagiza Baraza La Sanaa la Taifa kufanya mazungumzo na Shilole ili Serikali iweze kuchukua hatua .
Basata ilifanya jitihada za kumtafta Shilole na kuongea nae leo na hatimae kumaliza na  kufikia mahali pazuri. Shilole akiongea na Fulltainment leo ameielezea furaha yake baada ya kusamehewa na Basata alipoenda kutoa maelezo leo.
“Juzi Basata waliniita leo nimeenda kusikiliza wito wao,tumeongea mengi nashukuru wamenielewa na nafikiri kuanzia sasa hakuna tena tatizo kwasabu wale ni kama wazazi kwa mtoto wao wanatakiwa kumkanya yoyote aliekuwa ndani ya sanaa kama mtoto wao.
“Tumeelezana mengi kipi kifanyike na kipi kisifanyike katika sanaa ,Nimewaeleza kwa kirefu kile kilichotokea wamenielewa na wameniambia pia niwe muangalifu katika mavazi niwapo kwenye show zangu.”

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

1 comments