Albam mpya ya mkali wa muziki 50 cent inayokwenda kwa jina la STREET KING IMMORTAL ambayo imekuwa ikihairishwa kutoka mara kwa mara zaid ya miaka 2 sasa inatarajiwa kuingia sokoni mwaka huu.
Kama unakumbuka 2012 november ilipangwa kutoka badae ikasogezwa mbele hadi february 2013 lakini haikutoka na sasa imepangiwa tena tarehe mpya ya kutoka ambapo 50 mwenyewe ametangaza kuwa albam hiyo inatarajiwa kutoka september 2015 ingawa hajasema tarehe kamili.
Albam hii ya STREET KING IMMORTAL itakuwa ni albam ya 5 ya 50 Cent akiwa kama solo artist na ni albam yake ya pili akiwa anajitegemea baada ya kuachana na interscope Rec

No comments