Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » BONGO STAR SEARCH 2015 YAZINDULIWA LEO DAR ES SALAAM
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Shindano la kuvumbua vipaji vya wanamuziki  lililodumu kwa miaka 8 bongo star  search limezinduliwa tena jijini dar es laam huku likija  na maboresho mbalimbali  chini ya udhamini mkuu  kutoka kwa PSI
Akizungumza  na waandishi wa habari Alhamis hii,ndani ya ukumbi wa High spirit lounge jijini dar , mkurungenzi wa Benchmark production na  mwanzilishi wa shindano hilo ,Rita Paulsen alisema mwaka huu wameboresha zaidi shindano hilo
Madam Ritta akizungumza  na waandishi  wa habari
Mwaka huu 2015 utakuwa ni msimu mzuri na wa kusisimua .shindano la bongo star search itakuwa kwenye  mikoa  ya arusha ,mbeya  na mwanza pia Bongo star search  itarushwa  hewani kupitia Clouds TV na star TV . kwa hiyo mwanza  tutakuwa  july 4-5 ndani ya  ukumbi wa La kairo , july 11-12 Arusha  katika ukumbi wa Tripple A Hotel ,july 18-19 tutakuwa Mbeya  ndani  ya ukumbi wa club vibes  na Dar es laam  itakuwa tarehe 24-26 . kwa hiyo wenye  vipaji wakae mkao wa kula  alisema madam Rita

Madam  rita (kushoto) na mmoja kati ya  wadhamini wa shindano hilo
Pia  madam Rita alisema mshindi  kama  kawaida atapewa zawadi ambayo bado haijawekwa  wazi pamoja na  usimamizi kutoka TipTop connection
Licha ya zawadi  kwa washindi pia top 5 watakuwa chini ya TipTop connections, yaani TipTop ndio itawamaneji washindi hao 5
Pia mwaka huu tupo na mbunifu wa mavazi Ally Rehmtullah.Tumegundua kuwa muziki na swagga na mavazi vinaendana  kutokana na mambo ya mitandao .Sasa hivi  ili uonekane vizuri  inabidi  uvae vizuri  kwa hiyo  tumegundua tukiunganika  na tasnia nzima ya mitindo
Tutapata wasanii ambao wapo kwenye kiwango cha mataifa kabisa sasa hivi hatuwezi kuimba huku tumevaa vibaya . Sasa hivi mwonekano  mpya ambao utaleta mapinduzi katika mziki wetu alisema Madam
Meneja  wa PSI ,Gaston shayo (kushoto) akizungumza  na waandishi wa habari

Kwa  upande wa mdhamini mkuu wa shindano  la Bongo star search , kupitia  meneja wa mauzo ,Gaston Shayo alisema kupitia kampeni yao kuwa original  ya kuelimisha vijana kutumia kondom ,wameona Bongo star search ndicho chombo muafaka  cha kuibua vipaji nafasi ya kungara  pamoja kuwa salama



About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply