Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » WANAFUNZI WA MLIMANI SCHOOL OF PROFESSIONAL WAANZA MITIHANI YAO LEO.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

  


Zaidi ya Wanafunzi 150 katika chuo cha Mlimani School of Professional Studies wameanza mitihani yao leo ya kumaliza muhula wa masomo kwa mwaka 2015 na wanatarajia kuhutimisha mitihani hiyo siku ya ijumaa tarehe 15/05/2015 ambapo wataenda likizo ya mwezi mmoja na wanatarija kurejea chuoni mwezi wa sita tarehe 15 kuendelea na muhula mwingine wa masomo.

 
 
Katika mitihani hiyo iliyoanza  rasimi leo asubuhi inajumiuisha wanafunzi wa ngazi ya cheti yaani “certificate”wa mwaka 2014 na ngazi ya stashahada yaani diploma wa mwaka 2014 katika idara mbalimbali ikiwa ni pamoja wanafunzi wa idara ya habari na mawasiliano kwa umma, idara ya rasilimali watu na uongozi wa biashara.
 


                                  Fulltainment inawatakia kila la kheri katika mitihani yao

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply