Team nzima ya wana Fm Academia jumamosi iliyopita walifanya
balaa ndani ya ukumbi wa TIRINA MOTEL iliyoko salsala nyumba ilipoungua moto.
Fulltainment ilitembelea eneo hilo na kujionea balaa la fm
academia kama unavyowaona kwenye picha hapo chini.
Vijana wa Fm Academia wakifanya mambo yao
Pacho mwamba akiongoza jahazi la wana Fm Acemia
Manager wa Tirina Motel akiwa na King blaze baada ya show
Tulipata nafasi ya kuongea na manager wa Tirina akasema huu
ni mwanzo tu tumepanga kufanya mambo
mengi mazuri kwa wakazi wa salasala na katika kudhibitisha hilo wiki hii tarehe
15 wanawaleta yamoto band ambapo pia anategemea watapiga bonge ya show kwa
kiingilio cha sh elfu 10.
No comments