Young killer
ameiambia fulltainment jana kuwa hiyo ilikuwa furaha kubwa katika maisha yake
na akasema pia wako katika uhusiano wa kimapenzi ambao una mipango ya ndoa mbele yake
NUKUU:
Jana
tumesherekea siku yetu ya kuzaliwa mimi na mpnzi wangu Halimaty lakini kikubwa
zaidi ni kwamba kusherekea siku ya kuzaliwa na mtu ambae unampenda toka moyoni ni kitu
cha furaha sana na toka ninaanza muziki mpaka leo nipo naye. amesema killer
Hili ni
jambo la furaha sana . Masuala ya ndoa bado ingawa kila kitu kinawezekana ,kuna
vitu nihitaji kujipanga zaid ili kukabiliana na ndoa
No comments