Akiongea na
fulltainment leo Irene paul amesema muda huu anataka kuutumia ili kuangalia wap
alikosea ili asonge mbele zaid.
Watu
wanasema tunajifunza kila siku na mimi naendeleza kujifunza.
Kiukweli
kwasasa sihitaji wala sitafuti mchumba wala mtoto
I am
comitted’ kwa kifupi sihitaji mtoto wala mume.Nimekuwa nikichukua mda mwingi
kujutia katika miaka 3 iliyopita nilikuwa mdogo sasaiv ni dada na ni mama pia lakini
nakuja kujutia kupoteza muda,nikajikuta sijafanya kitu kuna vitu vingi
nimepoteza na mda mwngi pia nimepoteza for nothing.
Ndio maana nasema sasaiv
nimejifunza na nataka nijibadilishe,sitaki kuendelea kuwa Irene paul wa kitanzania sasa nataka kuwa Irene wa kimataifa na ninaweza
No comments