HAPPY B DAY,GURU RAMADHANI KUTOKA G RECORDS
Mkali kutoka G rec anaejulikana kama Guru Ramadhani ambae ametoa wasanii wengi sana katika mziki wa bongo fleva leo anasheherekea siku yake ya kuzaliwa ambapo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake. Jamaa ambae kwasasa makazi yake ni kule zanzibar akiwa anafanya kazi kwenye BOMBA FM radio as a Dj .Fullnews inamtakia kila la kheri na maisha marefu pia
No comments