Tunashukuru mdau wetu wa blogu ya fultainment kwa kuendelea kuwa pamoja nasi na sasa ni wakati wa sifa na mahubiri katika Usharika wa Kimara wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT ambao umeandaliwa na Jumuiya ya wanafunzi kutoka vyuo vya MLIMAN SCHOOL OF STUDIEA na Chuo cha ST. GLORY..............Endelea kufurahia matukio katika picha mtazamaji na msomaji wetu picha zote na Noel Kaguo, Shikunzi Haonga na Bryan Mposindawa.
Walezi wa Jumuiya ya wanafunzi wakitambulishwa kwenye mkesha |
Wachungaji wakifuatilia uimbaji wa kwaya ya wana Accapela hawapo pichani |
Wapiga vyombo wakishughulika kwenye mkesha mkesha wa kusifu na kuabudu |
Waimbaji wa kwaya ya Uinjilisti wakiimba |
No comments