erikali ya China,imepiga marufuku kuvuta
sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa
Beijing. Maelfu ya maafisa wameanza kufanya
ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na
watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa
faini.
Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia
tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara
katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing
ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa
kutekelezeka.Ripoti inasema kuwa watu wengi
wanadhani sheria hiyo ya kukataza kabisa uvutaji
sigara haitafanya kazi.
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza
kumshirikisha mwenzako
CHINA WAPIGA MARUFUKU UVUTAJI WASIGARA HADHARANI.

No comments