SABABU YA BIG SEAN NA ARIANA GRAND KUACHANA
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Big sean hakuwa akimpa na kumuonyoshe Ariana heshima aliyokuwa akiitaka na aliandika baadhi ya mistari iliyomdharirisha kwenye wimbo wake wa Stay Down
Sean amesema yeye ndie aliemuacha mrembo huyo baada ya kuona ana mambo ya kitoto.

No comments