Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » MEEK MILL NA NEYO WAONGEZA UTAMU KWENYE STAGE YA TUZO ZA BET 2015
«
Next
ROSE NDAUKA ATOA SOMO KWA WATEJA WA DCB KATIKA FILAMU YA Desire to Succeed
»
Previous
AZAM FC, KUMSAJILI KIPA TOKA IVORY COAST


Mkali aliyeshirikishwa kwenye ngoma ya Davido “Fans Mi” Philly rapper Meek Mill wameongezwa kwenye list ya wasanii ambao watapamba usiku wa tuzo za BET 2015, ikiwa ni tuzo za 15 za katikati ya mwaka 2015. Meek Mill na Ne-Yo wanaongezea ukali katika list ya wakali kama Kendrick Lamar, Chriss Brown na Meek Mill atashare stage na Nick Minaj.
Kwa watangazaji wa siku hiyo ni pamoja na Zendaya, Michael B.Jordan na Laverne Cox wa Netflix hit Orange is the new black.
 Mastaa kutoka Marekani Tracee Ellis-Ross na Anthony Andreson ndio watakuwa hosts wa usiku huo, Juni 28

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
ROSE NDAUKA ATOA SOMO KWA WATEJA WA DCB KATIKA FILAMU YA Desire to Succeed
»
Previous
AZAM FC, KUMSAJILI KIPA TOKA IVORY COAST

No comments

Leave a Reply