Mkali wa Bongo Fleva Madii kutoka tip top connection ameelezea mambo ambayo atakuwa anayafanya katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani,
Kwanza kabisa amesema hiki ni kipindi ambacho anatumia muda wake mwingi kukaa na marafiki kuongelea mambo yanayohusiana na dini yao na kuhimizana katika kufunga na kufuata matakwa ya dini ya kislamu.
Pia na yeye amekuwa ni moja ya wasanii ambao kwa mwezi huu hawatofanya show yoyote kwaajili ya kwenda sawa namwezi husika.
Miongoni mwa wasanii ambao wametangaza kutofanya show kwa kipindi hiki ni pamoja na JUMA NATURE,SHILOLE n.k
MADEE AELEZEA MAMBO ANAYOPENDELEA KUFANYA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO WA RAMADHANI

No comments