Select Menu

.

.

RAMADHANI KAREEM

RAMADHANI KAREEM

ALLEN PETER KASIGA

http://www.loxiastudio.com/en/options/2/1#/LXModuleExport
Powered by Blogger.

Link list 3

Link list 2

Link list 1

Search This Blog

HOME

NEW HITS

UCHUMI

MICHEZO

» »Unlabelled » WANAFUNZI UDSM WAGOMA KUENDELEA NA MASOMO YAO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post







 

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mlimani UDSM wamegoma kuingia madarasani  na kuendelea na masomo yao huku wakihishinikiza serikali kuwalipa fedha zao za kujikimu kimaisha.
Akizungumza baada ya mgomo huo Raisi wa chuo hicho KIJAPONDA AHADI amesema kutokana mkataba baina yao na serikali  fedha hizo zinatakiwa zilipwe baada ya wiki 8 lakini mpaka sasa wameingia wiki ya 11 bila kuwepo kwa malipo hayo.


Aidha amesema tatizo hilo limekuwa likijirudia mara kwa mara na kuwasababishia usumbufu mkubwa ili hali serikali ikiwa inatambua mtu awezi kuishi bila kuwa na fedha ya kujikimu.
Kwa upande wake Waziri wa mikopo wa chuo hicho SHIFUNDI BERNAD amesema kimsingi matatizo hayo yanatokana na mfumo mbaya wa mamlaka yenye dhamana ya kukusanya fedha za mikopo kwa walioajiriwa .
 

About G'14

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply