Magese atapokea tuzo ya "Global Good" ambayo ni tuzo mpya kabisa kuanzishwa katika tuzo hizo na Happiness ndie Star wa kwanza kupokea tuzo hiyo Akiwa anaiwakilisha nchi ya Tanzania
BET KUMTUNUKU TUZO HAPPINES MAGESE TUZO YA GLOBAL GOOD
Mrembo
anaeshikilia taji la Miss Tanzania 2001, Happiness Millen Magese, anatarajiwa
kutunukiwa tuzo katika tuzo za BET, zinazotarajiwa kufanyika June 28 nchini
Marekani.

No comments