Music Shop by Sisqo
...
Toka mapema asubuhi ya leo kupitia mitandao ya kijamii tuliona tangazo linaloonyesha kuwa leo kwenye xxl ya clouds fm kutakuwa na supplies DJ D OMMY a.k.a WASHAWASHA amesikika...
Mkali wa Bongo Fleva Madii kutoka tip top connection ameelezea mambo ambayo atakuwa anayafanya katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhani, Kwanza kabisa amesema hiki ni kipindi ambacho...
Shilole ameweka wazi ratiba yake ya mwezi huu wa Ramadhani jinsi ambavyo itakuwa . Kwanza amesema kwa mwezi huu wote hatofanya show yoyote wala hawezi kuonekana katika sehem yoyote...
Filamu ya Kuelimisha jamii Inayojulikana kama DESIRE TO SUCCEED kuzinduliwa Siku ya Jumamosi tarehe 25 Juni 2015, Saa 12.00 Jioni katika ukumbi wa CENTURY CINEMAX Dar Free Market....
Mkali aliyeshirikishwa kwenye ngoma ya Davido “Fans Mi” Philly rapper Meek Mill wameongezwa kwenye list ya wasanii ambao watapamba usiku wa tuzo za BET 2015, ikiwa ni tuzo...
Uongozi wa Azam FC upo katika hatua za mwisho kumsajili mlinda lango wa Jeunesse ya Ivory Coast Vincent Atchouailou de Paul Angban.Mchezaji huyo anatarajiwa kuwasili wiki ijayo akiambatana...
Wema Sepetu ameamua kuingia kwenye siasa na ameamua kugombea na Ubunge wa viti maalumu mkoa wa singida ambako ndio chimbuko la mama yake mzazi. Kwasasa Wema yuko singida...
Mama mzazi wa Banza Stone ameieleza full news tz kuwa hali ya mwanae inazidi kuwa mbaya siku hadi siku na sasa Banza amegoma kula kabisa kwa siku ya 3...
Copyright © 2015, FULL NEWS TZ | Distributed By Full News | Designed By Clement Silla
Recent Comments